PORTAL YA MAOMBI (APPLICATION PORTAL)

Chuo cha Ualimu Singida

Karibu kwenye Mfumo wa Maombi ya Kujiunga na Chuo (Online Application System)

Anza Maombi Mapya

Bonyeza hapa ikiwa wewe ni mwombaji mpya na unataka kujaza fomu ya maombi ya kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2026.

Endelea na Maombi yako

Weka namba ya maombi (Application/Admission Number) uliyopewa wakati unaanza maombi ili uweze kukamilisha, kufanya malipo, au kuangalia hali ya maombi yako.

Maelekezo na Hatua za Kufuata

1

Jaza Taarifa Binafsi

Bonyeza kitufe cha "Anza Maombi Sasa" na ujaze fomu ya maombi kwa usahihi kwa kutumia taarifa zako sahihi.

2

Pata Namba ya Malipo (Control Number)

Baada ya kuhifadhi taarifa zako, utapewa namba ya maombi (Application Number) na mfumo utakutengenezea Namba ya Malipo (Control Number) kiotomatiki.

3

Lipa Ada ya Maombi

Fanya malipo ya Ada ya Maombi (TZS 40,000/=) kupitia benki ya NMB au kwa njia ya mitandao ya simu kwa kutumia Namba ya Malipo uliyopewa.

4

Kukamilika kwa Maombi

Baada ya malipo kukamilika, mfumo utatambua malipo yako kiotomatiki na kukuletea risiti. Hapo maombi yako yatakuwa tayari kushughulikiwa na chuo.